NEW

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Geophrey Pinda akisalimiana na Bw. Onesmo Olengurumwa,Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu na Bw. Nabor Assey Mkurugenzi wa Sheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati walipokutana katika kikao cha 73 Cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (The Ordinary Session of the African Commission on Human & People's Rights) kinachofanyika Banjul, Gambia kuanzia Oktoba 21 hadi Novemba 9, 2022.