Mkutano Mkuu wa 11 wa wanachama wa THRDC

Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) wakionesha nakala ya kitabu cha mpango mkakati wa Mtandao kwa miaka mitano ijayo (2023 - 2027). Hii ni dira na ramani ya Mtandao kwa miaka ijayo katika kukuza nafasi ya kiraia ya Watetezi nchini Tanzania.

Picha hizi zimechukuliwa katika Mkutano Mkuu wa 11 wa wanachama wa THRDC, uliofanyika jijini DSM mwezi huu.