GROUP PHOTO

Rais Mh. Samia Suluhu, Waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Jaji mstaafu Jacqline Demello, Kaimu Jaji mkuu Zanzibar Mh. Khamis Ramadhani, Mratibu kitaifa Bw. Onesmo Olegurumwa na viongozi wengine wakiwa pichani na sekratarieti ya THRDC katika maadhimisho ya miaka 10 ya Mtandao

#10yrsofthrdc
#Miaka10yathrdc
#AdecadeofTHRDC