Kituo cha malezi, usalama na ulinzi wa Watoto TAWIA, kimefanikiwa kugawa bima za afya kwa watoto 50 wa kituo hicho, kwa lengo la kupunguza garama za Afya kwa ajili ya watoto wa wajane ambao hushinda kituoni wakati Mama zao wakiwa katika harakati za kutafuta.
TAWIA imepunguza kadhia waliyokuwa wakiipata wamama hao kuzunguka na Watoto kutafuta riziki au kuwaacha bila waangalizi.

Tanzania Widows Association (TAWIA) ambalo linajihusisha na wajane, ni moja ya wanachama marafiki wa Mtandao.

#Miaka10YaTHRDC
#10YrsOfTHRDC