Mkurugenzi wa shirika la SAUTI YA HAKI TANZANIA (kulia) lenye Makao makuu Mbeya -Tukuyu , Adv Laetitia Petro leo atembelea ofisi za Namgwo-Namnyaki mkoani Iringa kwa lengo la kuandaa siku ya wanawake ambayo ni tarehe 8 Machi ,

Katika mazungumzo yao, mashirika hayo mawili yamekubaliana kushirikiana ili kuadhimisha sikukuu hiyo.

Bado haijafahamika kuwa siku hiyo ifanyikie wapi ,hapa Iringa au Mbeya – Tukuyu.

#Miaka10YaTHRDC
#10YrsOfTHRDC