Mfuko huo umeanzishwa kwa ajili ya kuwapatia msaada wa kisheria watetezi wa haki za binadamu kutoka nchi za ukanda wa maziwa makuu.

Mfuko huo tayari umeshazinduliwa nchini Kenya na Uganda na hivi sasa Tanzania.

Mfuko umezinduliwa tarehe 12 mwezi wa sita na Balozi wa Sweden Bw. Lennarth Hjelmaker. Ubalozi wa Uswidi Tanzania umekua mstari wa mbele kuhakikisha watetezi wa Haki za Binadamu nchini wanaishi katika mazingira rafiki yanayowawezesha kutenda kazi za utetezi kwa ufasaha.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.