MATOKEO YA UCHAGUZI WA NaCoNGO

Siku ya jana tarehe 26 Juni 20201, Baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali (NaCoNGO) lilifanya uchaguzi kupata wajumbe kutoka ngazi za Wilaya, Mikoa na Taifa.

Yafuatayo ni matokeo ya uchaguzi wa Wajumbe wa NaCoNGO katika ngazi za Wilaya kote nchini:

Wilaya ya Mbarali:

 1. Moses Nchimbi
 2. Edson Mwakyembe
 3. Remigius Mdetele

Wilaya ya Lindi
1.Michael Mwanga
2.Fatuma Nyama
3.Mwendo Mnyambala

Wilaya ya Ruangwa.
1.Issa Omari chijuni
2.Stambuli Athumani
3.Tmpale Salum Magehema

Wilaya ya Mtwara
1.Bartzal Komba
2.Clemence Mwombeki
3.Bright Msalya

Wilaya ya Ikungi

1. Eveline Lyimo
2.Hilda Kolla
3.Ibrahimu Omary

Wilaya ya Ubungo

 1. Lilian Mbaga
 2. Joseph Yohana
 3. Chamalo Dente

Wilaya Ya Kinondoni:
1.Lulu Ng’wanakilala
2.Marcela Francis Lungu
3.Anna Henga

Wilaya ya Temeke:

 1. Jane Magigita
 2. John Bwana
 3. Rose Mtwanga

Wilaya ya Muheza:
1.Alex Lucas Mbwilo
2.Zakaria Godfrey Mhina.
3.John Bosco Nditeze

Wilaya ya Nyamagana:
1.Mzee Peter Amon

2. Mr. Musa Masongo

Wilaya ya Ilemela:

 1. Anitha Modest
 2. Marco Shija