Leo hii tarehe 27 Januari 2022, wajumbe wa bodi ya shirika la Namnyaki Girls and Women Organization (NAMGWO) wamepokea mafunzo ya kujengewa uwezo. Mafunzo hayo yametolewa na mkufunzi Enock Ugulumo kutoka chuo kikuu cha Iringa.

NAMGWO ni moja ya wanachama hai wa Mtandao waliopo mkoani Iringa na wanatetea haki za wanawake na watoto wa kike wa jamii za kifugaji juu ya upatikanaji wa elimu, ujasiriliamali n.k.

#10YrsOfTHRDC
#Miaka10YaTHRDC