CONDOLENCES!

Kampala, Uganda


With a heavy heart, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) has received the sad news of the untimely death of Mariam Nakibuuka who had been working with our close partner DefendDefenders (East and Horn of Africa Human Rights Defenders Project). Mariam passed away last evening at Kampala hospital where she was being hospitalized.

Our deepest condolences go to DefendDefenders, the family and friends of the late Mariam Nakibuuka. May our Almighty God rest Mariam’s soul in eternal peace, Amen! 🙏

There will also be an online vigil at 7pm East African Time via https://t.co/drOeP6WeTK

Meeting ID: 84667448442
Passcode: 872834

Full statement: https://defenddefenders.org/defenddefenders-mourns-mariam-nakibuuka/

//

TANZIA!


Kwa masikitiko makubwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umepokea taarifa za kifo cha Mariam Nakibuuka, aliyekuwa akifanya kazi kwenye shirika la DefendDefenders lililopo Kampala, Uganda. DefendDefenders ni wadau wetu wa muda mrefu katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Mariam Nakibuuka alifariki jana tarehe 26 Julai 2021 majira ya jioni katika hospitali ya Kampala.

THRDC inatanguliza salamu zake za rambirambi kwa DefendDefenders, familia, ndugu, jamaa, marafiki wa marehemu na wote waliofikwa na msiba. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mariam Nakibuuka mahali pema, Amina! 🙏

Imetolewa na THRDC,

Tarehe 27 Julai 2021