From our reporters

We bring you news coverage from our reporters on the ground across the globe here. Follow WATETEZI TV on Facebook, Instagram, Twitter and Subscribe to our YouTube Channel WATETEZI TV.

 • HUKUMU YA KESI YA MAXENCE MELO NA MWENZAKE MICKE WILLIAM YAAHIRISHWA KWA MARA YA 5

  HUKUMU YA KESI YA MAXENCE MELO NA MWENZAKE MICKE WILLIAM YAAHIRISHWA KWA MARA YA 5 Dar es Salaam, Tanzania Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inayomkabili Ndg. Maxence Melo na mwenzake Micke William ilipangwa kusomwa leo Aprili 02, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu

  April 2, 2020
 • TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA

  TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA Jumatatu Machi 23, 2020 Mwandishi wa Habari wa Azam TV Ramadhani Mvungi, Mwandishi Novatus Makunga na Mpiga Picha Mohammed Mkindo ambao wote hufanya kazi Jijini Arusha, Tanzania walikamatwa na askari wa jeshi la polisi baada ya kuingia kwenye eneo lililozuiwa. Eneo hilo ni hoteli ambayo watu wamezuiwa

  March 24, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU THRDC KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC INAENDELEA KANDA YA PWANI

  ZIARA YA MRATIBU THRDC KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC INAENDELEA KANDA YA PWANI   Dar es Salaam, Tanzania   Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa anaendelea na ziara ya kuwatembelea wanachama wa THRDC kwa lengo la kuendelea kufahamu kwa undani kazi zinazofanywa na watetezi hawa lakini pia kubaini

  March 19, 2020
 • HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (FEBRUARY 2020): SCHOLASTICA B. PEMBE

  HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (FEBRUARY 2020): SCHOLASTICA B. PEMBE Meet Scholastica B. Pembe (35), nominated as our Young Human Rights Defender of the month, for February 2020, for defending Women’s rights. Scholastica B. Pembe is the founder & Executive Director of New Hope New Winners Foundation (NHNWF), a human rights NGO that raises

  March 16, 2020
 • MRATIBU KITAIFA WA THRDC ATEMBELEA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA)

  MRATIBU KITAIFA WA THRDC ATEMBELEA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA (TAWLA) Dar es Salaam, Tanzania Katika ziara yake ya kuwatembelea wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) katika Kanda ya Pwani Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Onesmo Olengurumwa akiongozana na Mratibu Msaidizi wa THRDC Kanda ya Pwani Bwana Michael Marwa pamoja

  March 13, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAANZA LEO KATIKA UKANDA WA PWANI

  ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAANZA LEO KATIKA UKANDA WA PWANI Dar es Salaam, Tanzania Ziara ya Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Ndugu Onesmo Olengurumwa akiongozana na Mratibu Msaidizi wa THRDC Kanda ya Pwani Bw. Michael Marwa pamoja na Afisa wa Dawati

  March 13, 2020
 • MCT LAUNCHES 6 MEDIA RESEARCH AND POLICY DOCUMENTS

  MCT LAUNCHES 6 MEDIA RESEARCH AND POLICY DOCUMENTS Dar es Salaam, Tanzania Today on 10th March 2020, the Media Council of Tanzania (MCT) launched 6 of its Media research and policy documents including: 1) An Investigation Report on Increased Threats and Interference into Editorial Independence 2) A Compendium of Analyses of Media Related Laws in

  March 10, 2020
 • THRDC IMEANDAA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA WATETEZI WA KIKE KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI (Machi 8 2020)

  Je, wewe ni Binti Mtetezi wa Haki za Binadamu na ungependa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani pamoja nasi??? Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeandaa Chakula cha Jioni cha pamoja (Dinner Gala) siku ya Jumapili tarehe 8 Machi 2020, ambapo Watetezi Vijana wa Kike wataweza kukutana na Wanawake Watetezi Mahiri na Wakongwe

  March 6, 2020
 • THE REPUBLIC WITHDRAWS ITS CASE AGAINST JOURNALIST SEBASTIAN ATILIO

  THE REPUBLIC WITHDRAWS ITS CASE AGAINST JOURNALIST SEBASTIAN ATILIO Iringa, Tanzania Today, on 5th March 2020, the Republic has withdrawn its case against Journalist Sebastian Atilio which was filed at the Mufindi District Court. The case was arranged to be mentioned today, but the State Attorney informed the court that the Republic no longer wishes

  March 5, 2020
 • AFRICAN COALITIONS CONTEMPLATE TO ADVANCE COOPERATION

  AFRICAN COALITIONS CONTEMPLATE TO ADVANCE COOPERATION The National Coordinator of Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), Mr. Onesmo Olengurumwa has visited the Kenya Human Rights Defenders Coalition to exchange ideas and advance general cooperation. To date, several African Nations have already established Human Rights Defending Coalitions after Kenya. These include; Tanzania, Uganda, Somalia, South Sudan,

  March 5, 2020
 • WAANDISHI WA HABARI WATATU NA MMILIKI WA NJOMBE YETU TV WASHTAKIWA MAHAKAMANI NJOMBE

  WAANDISHI WA HABARI WATATU NA MMILIKI WA NJOMBE YETU TV WASHTAKIWA MAHAKAMANI NJOMBE Njombe – Tanzania Waandishi wa habari watatu wanaomiliki TV za Mtandaoni pamoja na mmiliki wa Njombe Yetu TV leo Machi 4, 2020 wameshtakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Waandishi hao ni: Prosper Daudi Mfugale mwandishi wa ITV ambaye anamiliki Njombe TV,

  March 4, 2020
 • COURT ORDERS REPUBLIC TO COMPLETE INVESTIGATIONS ON TITO MAGOTI AND THEODORY GIYAN’s CASE

  COURT ORDERS REPUBLIC TO COMPLETE INVESTIGATIONS ON TITO MAGOTI AND THEODORY GIYAN’s CASE Dar es Salaam – Tanzania The Economic Crimes case number 137 of 2019 against Tito Magoti and Theodory Giyan, was mentioned for the fourth time today at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam before Honourable Resident Magistrate Janet Mtega.

  March 4, 2020
 • UN YATANGAZA KUFUTA MATUKIO KANDO YA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU (HRC) HUKO GENEVA SHAURI YA HOFU YA UGONJWA UNAOSABABISHWA NA VIRUSI VYA KORONA (COVID-19)

  UN YATANGAZA KUFUTA MATUKIO KANDO YA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU (HRC) HUKO GENEVA SHAURI YA HOFU YA UGONJWA UNAOSABABISHWA NA VIRUSI VYA KORONA (COVID-19) Geneva – Uswisi Siku ya tarehe 2 Machi 2020, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa Geneva (UNOG) alituma barua kwa Rais wa Baraza la Haki za Binadamu kuhusu

  March 3, 2020
 • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUNYIMWA DHAMANA WAANDISHI WA HABARI WATATU NA MMILIKI WA NJOMBE YETU TV

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUNYIMWA DHAMANA WAANDISHI WA HABARI WATATU NA MMILIKI WA NJOMBE YETU TV Njombe – Tanzania Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kitendo cha kukamatwa na kunyimwa dhama kwa waandishi wa habari watatu wanaomiliki TV za Mtandaoni pamoja na mmiliki wa Njombe Yetu TV siku ya Jumamosi

  March 3, 2020
 • MWANDISHI ERICK KABENDERA AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA ZAIDI YA MILIONI 200

  MWANDISHI ERICK KABENDERA AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA ZAIDI YA MILIONI 200 Dar es Salaam – Tanzania Hatma ya Mwandishi wa Habari za kiuchunguzi Ndugu Erick Kabendera imefikia tamati leo tarehe 24 Februari 2020 baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kukiri kosa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (Director of Public Prosecutions – DPP). Ikumbukwe kuwa,

  February 24, 2020
 • UKOSEFU WA AJENDA MAHSUSI NI CHANGAMOTO KATIKA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU

  UKOSEFU WA AJENDA MAHSUSI NI CHANGAMOTO KATIKA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU Kukosekana kwa Ajenda mahsusi imeelezwa kuwa moja ya kikwazo katika kutekeleza ajenda ya Utetezi wa Haki za Binadamu nchini. Haya yameelezwa na Mkurugenzi wa PINGOs Forum Wakili Edward Porokwa wakati wa kikao cha pamoja na Mratibu Kitaifa wa THRDC Bw. Onesmo Olengurumwa ambaye

  February 14, 2020
 • HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (JANUARY 2020): JOSEPH BRIGHTON MALEKELA

  HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (JANUARY 2020): JOSEPH BRIGHTON MALEKELA Meet Joseph Brighton Malekela (24), nominated as our Young Human Rights Defender of the month, for January 2020 through social rights and accountability. Joseph Brighton Malekela is a 3rd-year student at the University of Dar es Salaam (UDSM) pursuing his Bachelor’s Degree of Arts

  February 14, 2020
 • MGAWANYIKO KWENYE JAMII BADO NI CHANGAMOTO KWA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI

  MGAWANYIKO KWENYE JAMII BADO NI CHANGAMOTO KWA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI Arusha – Tanzania Mgawanyiko kwenye jamii unaohusishwa na maslahi binafsi umetajwa kuwa ni kikwazo kwa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini. Akielezea mafanikio na changamoto katika shughuli za Utetezi wa Haki za Binadamu nchini, Ndugu Lebaraka Laizer ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa

  February 14, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC PAMOJA NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YA KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC MKOANI ARUSHA

  ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC PAMOJA NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YA KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC MKOANI ARUSHA Leo tarehe 13/02/2020, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa akiongozana na Afisa Dawati la Wanachama – THRDC Wakili Joyce Eliezer walianza ziara ya kuwatembelea wanachama wetu walioko Arusha.

  February 13, 2020
 • MWANAHARAKATI NCHINI TANZANIA KUPINGA WATUHUMIWA KUSHTAKIWA KWENYE MAHAKAMA ZISIZOKUWA NA MAMLAKA YA KUSIKILIZA KESI ZAO (COMMITAL PROCEEDINGS)

  MWANAHARAKATI NCHINI TANZANIA KUPINGA WATUHUMIWA KUSHTAKIWA KWENYE MAHAKAMA ZISIZOKUWA NA MAMLAKA YA KUSIKILIZA KESI ZAO (COMMITAL PROCEEDINGS) Dar es Salaam – Tanzania Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa amefungua kesi namba 36 ya mwaka 2019 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Mahakama Kuu ya Tanzania,

  February 13, 2020
 • THRDC NA UNIC WAADHIMISHA KUMBUKIZI YA WAHANGA WA MAUAJI YA WAYAHUDI KIPINDI CHA VITA YA PILI YA DUNIA

  THRDC NA UNIC WAADHIMISHA KUMBUKIZI YA WAHANGA WA MAUAJI YA WAYAHUDI KIPINDI CHA VITA YA PILI YA DUNIA Dar es Salaam – Tanzania Asubuhi ya leo tarehe 12 Februari 2020, kwa mara nyingine tena, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ukiwakilishwa na James Laurent – Associate Protection Officer: Research & Documentation, kwa

  February 12, 2020
 • KABENDERA FACE TO FACE WITH THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS (DPP) TO REVIEW HIS PLEA BARGAINING AGREEMENT

  KABENDERA FACE TO FACE WITH THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS (DPP) TO REVIEW HIS PLEA BARGAINING AGREEMENT Dar es Salaam – Tanzania The Economic Crime case No. 75 of 2019 against Investigative Journalist, Erick Kabendera has been adjourned yet again for the 16th times today on 17th February, 2020 at Kisutu Resident Magistrates’ Court. The

  February 11, 2020
 • TAARIFA KWA UMMA: THRDC YASAINI MKATABA NA CIVICUS KUIMARISHA UHURU WA KUJIELEZA NCHINI

  TAARIFA KWA UMMA: THRDC YASAINI MKATABA NA CIVICUS KUIMARISHA UHURU WA KUJIELEZA NCHINI Leo tarehe 2 Oktoba 2019, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa niaba ya Watetezi TV, umesaini mkataba wa miezi mitatu (Oktoba 2019 – Desemba 2019) wenye thamani ya Dola za Kimarekani USD 20,000/=, sawa na Shilingi za Kitanzania

  October 2, 2019
 • TANZANIA CSOs TO PRESENT UPR REPORT BEFORE THE UNHRC

  TANZANIA CSOs TO PRESENT UPR REPORT BEFORE THE UNHRC Today on 28th September 2019, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) in collaboration with 90 Civil Society Organizations from Tanzania mainland and Zanzibar is conducting Universal Periodic Review (UPR) midterm report Validation session at Kisenga Hall, LAPF building in Dar es Salaam. The meeting aims

  September 28, 2019
 • THRDC NA UNIC WAENDESHA MDAHALO KUWAELIMISHA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MCHIKICHINI KUHUSU KAZI ZAO

  THRDC NA UNIC WAENDESHA MDAHALO KUWAELIMISHA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MCHIKICHINI KUHUSU KAZI ZAO Dar es Salaam – Tanzania Leo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) pamoja na Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini (UNIC) wameitembelea shule ya Sekondari Mchikichini iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam, kuwaelimisha wanafunzi wa

  September 26, 2019
 • TAMKO KUHUSU MATUKIO YA KUPOTEA/KUTOONEKANA NA KUTEKWA KWA WATU NCHINI

  TAMKO KUHUSU MATUKIO YA KUPOTEA/KUTOONEKANA NA KUTEKWA KWA WATU NCHINI   1.0 Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania umekuwa ukifuatilia kwa ukaribu matukio mbali mbali ya utekaji ambayo yamekuwa yakihatarisha hali ya usalama na kuzua taharuki miongoni mwa wananchi. Katika taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe Kangi Lugola, mnamo

  July 11, 2019
 • A VISIT FROM ITALIAN AMBASSADOR H.E. HON. ALBERTO MENGONI

  Earlier today, H.E. Hon. Roberto Mengoni, Ambassador of Italy in Tanzania together with his assistant Ms. Lavinia Pilosu visited THRDC offices and engaged in a meeting with THRDC’s Management team.

  July 8, 2019
 • VISIT FROM REPRESENTATIVES OF THE OFFICE OF THE REGISTRAR OF NGOs IN TANZANIA

  VISIT FROM REPRESENTATIVES OF THE OFFICE OF THE REGISTRAR OF NGOs IN TANZANIA Greatly honored by a visit from officials of the office of the Registrar of NGOs today at our office. We deliberated on the work being done by THRDC, its member organizations and future constructive engagements between the Government and CSOs.

  June 24, 2019
 • THE IMPACT OF THE SPREAD OF THE NOVEL CORONA-VIRUS (COVID-19) TO CIVIL SOCIETY ORGANISATIONS IN TANZANIA

  Dear Civil Society Sector stakeholder, Please click the following highlighted link to take part in our survey on THE IMPACT OF THE SPREAD OF THE NOVEL CORONA-VIRUS (COVID-19) TO CIVIL SOCIETY ORGANISATIONS IN TANZANIA. Your feedback is of high importance!   Thank you in Advance, The Tanzania CSOs Directors’ Forum

  March 31, 2020
 • JAMHURI YAONDOA SHAURI MAHAKAMANI DHIDI YA MWANDISHI SEBASTIAN ATILIO

  JAMHURI YAONDOA SHAURI MAHAKAMANI DHIDI YA MWANDISHI SEBASTIAN ATILIO Iringa – Tanzania Leo Machi 5, 2020 Jamhuri imeondoa shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Mufundi dhidi ya mwandishi wa habari Sebastian Atilio (pichani). Kesi yake ilikuwa imepangwa kutajwa tena leo Machi 5, 2020. Hata hivyo, Wakili wa Jamhuri ameieleza mahakama kwamba hawana nia ya kuendelea

  March 5, 2020
 • THE ATTORNEY GENERAL HAS RAISED 5 PRELIMINARY OBJECTIONS AGAINST 2 CASES FILED BY HUMAN RIGHTS DEFENDERS IN TANZANIA

  THE ATTORNEY GENERAL HAS RAISED 5 PRELIMINARY OBJECTIONS AGAINST 2 CASES FILED BY HUMAN RIGHTS DEFENDERS IN TANZANIA The AG has raised one preliminary objection against the case number 36 of 2019 petitioned by Mr. Onesmo Olengurumwa and four preliminary objections against the case number 35 of 2019 petitioned by Mr. Paul Kisabo, both cases

  February 26, 2020
 • SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA KIJAMII (WORLD DAY OF SOCIAL JUSTICE)

  SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA KIJAMII (WORLD DAY OF SOCIAL JUSTICE) Leo tarehe 20 Februari ni siku ya kuadhimishwa kwa Haki za Kijamii kimataifa. Haki za Kijamii ni dhana ya usawa miongoni mwa wanajamii katika umiliki wa mali na fursa mbalimbali bila kujali tofauti za kijinsia, kirangi, kikabila, kiumri, kitamaduni au ulemavu. Mfano wa

  February 20, 2020
 • PREGNANT SCHOOL GIRLS DESERVE EQUAL OPPORTUNITIES

  PREGNANT SCHOOL GIRLS DESERVE EQUAL OPPORTUNITIES By: Kizito Makoye The recent move by the World Bank to delay disbursement of a whopping 1.15trillion(Us$500 million) education loan to Tanzania, has provoked a war of words between government supporters and human rights campaigners who oppose the country’s education policy, which they claim, discriminate against pregnant girls. Girls

  February 20, 2020
 • “UVUMILIVU, UMOJA NA KUBAKI KWENYE AJENDA YA SHIRIKA NI NGUZO YA MAFANIKIO YA SHIRIKA”

  “UVUMILIVU, UMOJA NA KUBAKI KWENYE AJENDA YA SHIRIKA NI NGUZO YA MAFANIKIO YA SHIRIKA” Uvumilivu, Umoja miongoni mwa Watetezi wa Haki za Binadamu pamoja na kubaki kwenye ajenda ya Shirika ni miongoni mwa nguzo muhimu katika Utetezi wa Haki za Binadamu nchini. Haya yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Haki Madini Ndugu Amani Mhinda

  February 14, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAINGIA SIKU YA TATU MKOANI ARUSHA

  ZIARA YA MRATIBU THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAINGIA SIKU YA TATU MKOANI ARUSHA Ziara ya siku tatu ya Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Ndugu Onesmo Olengurumwa akiongozana na Mratibu Msaidizi wa THRDC Kanda ya Kaskazini Bwana Erick Luwongo pamoja na Afisa wa Dawati la Wanachama – THRDC

  February 14, 2020
 • KESI YA TITO MAGOTI NA THEODORY GIYAN IMETAJWA KWA MARA YA 4 LEO MAHAKAMANI KISUTU

  KESI YA TITO MAGOTI NA THEODORY GIYAN IMETAJWA KWA MARA YA 4 LEO MAHAKAMANI KISUTU Dar es Salaam – Tanzania Kesi ya utakatishaji fedha namba 137 ya mwaka 2019 inayowakabili Afisa Programu wa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti pamoja na mwenzake Theodory Giyan mtaalamu wa Teknolojia

  February 5, 2020
 • NOMINATION FOR HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH – JANUARY 2020

  NOMINATION FOR HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH – JANUARY 2020 Dear Human Rights Defenders, Do you know any vibrant Human Right Defender (HRD) that is accountable and defends Social Rights in Tanzania? Please NOMINATE that defender to stand a chance to be recognized as Human Right Defender of the month, January 2020. All nominations

  February 4, 2020
 • HUMAN RIGHTS DEFENDERS & JOURNALISTS TO BENEFIT FROM A TZS 277 MILLON PROJECT

  HUMAN RIGHTS DEFENDERS & JOURNALISTS TO BENEFIT FROM A TZS 277 MILLON PROJECT Dar es Salaam – Tanzania The Tanzania Human Rights Defenders’ Coalition (THRDC) has signed a two-year contract worth $120,000/- equivalent to 277 Million Tanzanian Shillings; with the American Bar Association (ABA) to aid the implementation of a project on defending freedom of

  January 31, 2020
 • MWANAHARAKATI NA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU TITO MAGOTI AKAMATWA NA WATU WASIOJULIKANA

  MWANAHARAKATI NA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU TITO MAGOTI AKAMATWA NA WATU WASIOJULIKANA Dar es Salaam – Tanzania Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mtetezi wa Haki za binadamu ambaye pia ni Afisa Programu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amekamatwa asubuhi ya leo na watu watano akiwa kwenye kituo kimoja cha

  December 20, 2019
 • NEWS ALERT: HRD TITO MAGOTI ABDUCTED BY UNKNOWN ASSAILANTS

  NEWS ALERT ONLINE ACTIVIST AND HUMAN RIGHTS DEFENDER TITO MAGOTI ABDUCTED BY UNKNOWN ASSAILANTS Dar es Salaam – Tanzania We have just received news that, Tito Magoti, an active Online Human Rights Defender through the Twitter platform and Programme Officer at the Legal and Human Rights Centre (LHRC) has been abducted by five unknown people

  December 20, 2019
 • THRDC YAWAFUNDA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUHUSU UMUHIMU WA USAWA WA KIJINSIA NA USHIRIKISHWAJI WA MAKUNDI YA KIJINSIA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

  THRDC YAWAFUNDA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUHUSU UMUHIMU WA USAWA WA KIJINSIA NA USHIRIKISHWAJI WA MAKUNDI YA KIJINSIA KWENYE MAENDELEO YA JAMII: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaendesha mafunzo ya siku mbili (tarehe 12 hadi 13 Desemba 2019) kuhusu masuala ya haki na usawa wa kijinsia kwa wawakilishi 60 wa

  December 12, 2019
 • TANZIA!!!

  TANZIA!!! Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesikitishwa na taarifa za kifo cha BI. GETRUDE ALEX (40) ambaye alikuwa Ofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (Commission for Human Rights and Good Governance – CHRAGG). Bi. Getrude Alex alifikwa na umauti usiku wa Novemba 23, 2019; siku mbili baada

  November 26, 2019
 • PRESS STATEMENT ON THE ARREST OF ADVOCATE JOSEPH RHOBI MARTINUS

  PRESS STATEMENT ON THE ARREST OF ADVOCATE JOSEPH RHOBI MARTINUS 1.0 Introduction Tanzania Human Rights Defenders Coalition strongly condemns the arrest and continued detainment of Advocate Joseph Rhobi Martinus (Roll No. 7357) by the police force. The Advocate was arrested on 22nd November 2019 following the instructions of the Regional Commissioner of Shinyanga and was

  November 25, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI JOSEPH RHOBI MARTINUS

  TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI JOSEPH RHOBI MARTINUS 1.0 Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kukamatwa na kuendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Wakili Joseph Rhobi Martinus (Roll No. 7357). Wakili huyo alikamatwa kwa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mnamo tarehe 22.11.2019 ambapo aliachiwa

  November 25, 2019
 • CALL FOR APPLICATION: CONSULTANCY ASSIGNMENT ON THE EFFECTS OF DRACONIAN LAWS ON HRDs IN TANZANIA

  CALL FOR APPLICATION: CONSULTANCY FOR CONDUCTING A CASE-BASED STUDY ON DRACONIAN LAWS THAT AFFECT HUMAN RIGHTS DEFENDERS IN TANZANIA Opportunity: Consultant Organization: Tanzania Human Rights Defenders Coalition Closing date: 16th October 2019 Read more here…(https://thrdc.or.tz/opportunities/call-for-application-consultancy-assignment-on-the-effects-of-draconian-laws-on-hrds-in-tanzania/)

  October 9, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI KWA VITUO VYA MTANDAONI VYA KWANZA TV, WATETEZI TV NA AYO TV

  TAMKO KUHUSU KUFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI KWA VITUO VYA MTANDAONI VYA KWANZA TV, WATETEZI TV NA AYO TV 1.0) Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kufungia kituo cha Televisheni mtandaoni cha Kwanza TV, kwa muda wa miezi sita (6)

  September 27, 2019
 • PRESS RELEASE ON OFFICIAL LAUNCHING OF THE 2019/2020 CSOs ELECTION MANIFESTO

  PRESS RELEASE ON OFFICIAL LAUNCHING OF THE 2019/2020 CSOs ELECTION MANIFESTO 1.0) Introduction We Civil Society Organizations (CSOs) from across the United Republic of Tanzania under the coordination of the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), have jointly prepared a CSOs Election Manifesto that will serve for the 2019 Local Government Elections and the 2020

  September 27, 2019
 • TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (CHRAGG) KUDUMISHA UHUSIANO NA THRDC

  TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (CHRAGG) KUDUMISHA UHUSIANO NA THRDC Asubuhi ya leo maafisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG); Bi. Beatrice Beda (kushoto) pamoja na Bw. Mbaraka Kambona (kulia), wametembelea ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na kufanya mazungumzo na Afisa Uwezeshaji

  September 24, 2019
 • TGNP YARATIBU TAMASHA LA 14 LA JINSIA KUSHEREHEKEA MIAKA 25 YA AZIMIO NA MPANGO KAZI WA BEIJING

  TGNP YARATIBU TAMASHA LA 14 LA JINSIA KUSHEREHEKEA MIAKA 25 YA AZIMIO NA MPANGO KAZI WA BEIJING Dar es Salaam – Tanzania Zaidi ya wanaharakati 1000 wa Haki za Wanawake nchini wamekutana leo tarehe 24 Septemba 2019, jijini Dar es Salaam – Tanzania, kwa siku 3 kushiriki Tamasha la 14 la Jinsia linaloratibiwa na Mtandao

  September 24, 2019
 • ERICK KABENDERA’s CASE ADJOURNED, BUT DIAGNOSED WITH SPINAL PROBLEMS

  ERICK KABENDERA’s CASE ADJOURNED, BUT DIAGNOSED WITH SPINAL PROBLEMS Dar es Salaam – Tanzania Today on 18th September 2019, Tanzanian investigative journalist Erick Kabendera who is facing three charges including; Leading an Organized crime, Evading Tax and Money Laundering, has yet again had his case adjourned by the Kisutu Resident Magistrate Court in Dar es

  September 19, 2019
 • IMPROVEMENT OF THRDC’s M&E SYSTEM

  IMPROVEMENT OF THRDC’s M&E SYSTEM Today, Monitoring & Evaluation consultants from the Bridge Consulting Company led by Mr. David Kagoma initiated interviews with THRDC staff aimed at strengthening and improving THRDC’s Monitoring & Evaluation systems and overall programs performance. Today was the first round of interviews for this week, having met with our Program Monitoring

  September 17, 2019
 • MAADILI KATIKA VYOMBO VYA HABARI:

  MAADILI KATIKA VYOMBO VYA HABARI: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unahudhuria mjadala wa maadili katika vyombo vya habari ulioandaliwa na Internews-Tanzania kupitia mradi wa Boresha Habari. Mjadala huo unafanyika katika ofisi za Internews zilizopo kinondoni jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Wahariri, Wanahabari, Wahadhiri kutoka vyuo tofauti tofauti, wawakilishi na

  September 12, 2019
 • RETIRED CHIEF JUSTICE OF KENYA TO EDUCATE TANGANYIKA LAW SOCIETY LAYWERS TODAY

  RETIRED CHIEF JUSTICE OF KENYA TO EDUCATE TANGANYIKA LAW SOCIETY LAYWERS TODAY Today, 7th September, 2019 Watetezi TV will be attending the Half Annual General Meeting (HAFM) for the year 2019, starting from 09:30 a.m to 01:30 p.m, organized by the Tanganyika Law Society (TLS), at Arusha International Conference Centre (AICC) in Arusha. The theme

  September 7, 2019
 • AFYA YA KABENDERA YAZOROTA KIZUIZINI:

  AFYA YA KABENDERA YAZOROTA KIZUIZINI: Wakili Jebra Kambole kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) anaesimamia kesi ya mwandishi wa habari, Erick Kabendera, ameiambia mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kuwa hivi karibuni afya ya Kabendera imekuwa ikizorota. Wakili Jebra ameitaarifu mahakama kwamba tangu usiku wa tarehe 21 Agosti 2019, Kabendera amekuwa

  August 30, 2019
 • JOURNALIST JOSEPH GANDYE FREED, HE IS TO REPORT TO THE POLICE STATION WHEN NEEDED

  JOURNALIST JOSEPH GANDYE FREED, HE IS TO REPORT TO THE POLICE STATION WHEN NEEDED The police force in Iringa has released journalist Joseph Gandye, the Producer and Associate Head of Watetezi TV. He is supposed to report to the police station when needed. According to Advocate Chance Luoga from the Tanzania Human Rights Defenders Coalition

  August 28, 2019
 • PUBLIC STATEMENT ON THE ARREST OF WATETEZI TV INVESTIGATIVE JOURNALIST, JOSEPH GANDYE

  PUBLIC STATEMENT ON THE ARREST OF WATETEZI TV INVESTIGATIVE JOURNALIST, JOSEPH GANDYE The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) condemns the arrest of journalist Joseph Gandye, who is the production editor and associate head of Watetezi TV. Gandye has been arrested today on 22nd August, 2019, after receiving a call from a police officer who

  August 22, 2019
 • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani tukio la kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui msimamizi msaidizi wa Watetezi TV. Gandye alikamatwa leo tarehe 22.08.2019 baada ya kupigiwa simu

  August 22, 2019
 • STATEMENT ON THE VIOLATION OF LAWS AND DUE PROCESS IN THE ARREST AND DETENTION OF JOURNALIST ERICK KABENDERA

  STATEMENT ON THE VIOLATION OF LAWS AND DUE PROCESS IN THE ARREST AND DETENTION OF JOURNALIST ERICK KABENDERA   Introduction Erick Kabendera is a freelance investigative journalist who writes on various local and international publications. Erick Kabendera was arrested by people who identified themselves as police force on 29th July, 2019 around 18:00p.m at his

  August 12, 2019
 • TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU KATIKA KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA

  TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU KATIKA KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA Utangulizi Erick Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi wa kujitegemea anayeandika kuhusu habari za ndani ya nchi na za Kimataifa. Erick Kabendera alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi tarehe 29 Julai 2019 saa 12

  August 11, 2019
 • ARRESTED ARRESTED INVESTIGATIVE JOURNALIST BOLLEN NGETTI, IS NOT AT STAKISHARI POLICE STATION

  🗞NEWS ALERT! BOLLEN NGETTI IS NOT AT STAKISHARI POLICE STATION Following reports about the arrest of investigative journalist Mr. Bollen Ngetti, yesterday on 8th August, 2019, Advocate Jones Sendodo from the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) went to Stakishari police station to follow up on the matter as it was claimed that he was

  August 9, 2019
 • JOINT STATEMENT BY THE US EMBASSY AND BRITISH HIGH COMMISSION IN TANZANIA ON THE DETERIORATION OF LEGAL CIVIL RIGHTS IN TANZANIA

  Tamko la pamoja la Ubalozi wa Marekani 🇺🇸 na Ubalozi wa Uingereza 🇬🇧 kuhusu wasiwasi wa kuzorota kwa Haki za Raia kisheria nchini Tanzania 🇹🇿. #FreeErickKabendera (English) Today on 9th August 2019, the US Embassy in Tanzania 🇺🇸 and the British High Commission in Tanzania 🇬🇧 have issued a joint statement of their concern over the deterioration of legal civil rights in Tanzania 🇹🇿.

  August 9, 2019
 • NEWS UPDATES FROM THE COURT CONCERNING ERICK KABENDERA’S CASE

  NEWS UPDATES FROM THE COURT CONCERNING ERICK KABENDERA’s CASE: Today, 5th August, 2019, investigative journalist, Erick Kabendera, who has been detained for more than 7 days has been arraigned in court charged with three counts; 1. Money Laundering (contrary to S. 3(u), 12(d) and 13(1)(a) of Anti-Money Laundering Act). 2. Tax Evasion(TZS 173,247,047.02) (Contrary to

  August 5, 2019
 • JOURNALIST ERICK KABENDERA’S BAIL APPLICATION HAS BEEN ADJOURNED TO 5th AUGUST, 2019

  NEWS UPDATE!!! JOURNALIST ERICK KABENDERA’S BAIL APPLICATION HAS BEEN ADJOURNED TO 5th AUGUST, 2019 Dar es Salaam, Tanzania Today, 1st August, 2019, Kisutu Residential Court in Dar es Salaam has received Erick Kabendera’s bail application brought by the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Advocates, Shilinde Swedy and Catherine Ringo before Judge Rwizile. Erick Kabendera’s

  August 1, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA

  TAMKO KUHUSU KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA Erick Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi wa kujitegemea anaye andika machapisho kuhusu habari za ndani ya nchini na za Kimataifa.  Erick Kabendera alikamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Julai 2019 saa 12 jioni nyumbani kwake Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es salaam,

  July 31, 2019
 • BREAKING NEWS: ERICK KABENDERA’S WIFE AND RELATIVES HAVE BEEN ALLOWED TO VISIT HIM AT KILWA ROAD POLICE STATION

  ERICK KABENDERA’S WIFE AND RELATIVES HAVE BEEN ALLOWED TO VISIT HIM AT KILWA ROAD POLICE STATION Dar es Salaam, Tanzania Investigative Journalist Erick Kabendera’s wife has been allowed to see her husband who is detained at Kilwa road police station, two days after he was arrested by the police on Monday evening at his home

  July 31, 2019
 • ADVICE ON THE SITUATION OF PRIVACY AND COMMUNICATION SECURITY IN TANZANIA

  TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) ADVICE ON THE SITUATION OF PRIVACY AND COMMUNICATION SECURITY IN TANZANIA Introduction Security and privacy of communications is one of the most frequently violated rights in the country and elsewhere in the world. There is a serious problem of surveilled and illegal interception of people’s private communications in Tanzania.

  July 28, 2019
 • CONDOLENCES TO AZAM MEDIA LIMITED

  CONDOLENCES The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) has received with great sorrow information on the unfortunate death of 5 employees of Azam Media Limited early in the morning on 8th July, 2019, due to a car accident. Early reports state that the car accident happened early morning around 08:30 AM, at Kizonzo area in

  July 9, 2019
 • EVALUATION OF THE 2015 CSOs ELECTION MANIFESTO AND DEVELOPING A NEW ELECTION MANIFESTO FOR THE 2019/20 ELECTIONS

  EVALUATION OF THE 2015 CSOs ELECTION MANIFESTO AND DEVELOPING A NEW ELECTION MANIFESTO FOR THE 2019/20 ELECTIONS Today on 5th July 2019, the Tanzania Human Rights Defenders’ Coalition (THRDC) convened a CSOs’ dialogue at Kisenga – LAPF building; to Evaluate and analyze the 2015 CSOs Election manifesto but also began drafting a new CSOs Election

  July 5, 2019
 • THE 6TH ANNIVERSARY OF THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS – 28th APRIL 2019

  THE 6TH ANNIVERSARY OF THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS – 28th APRIL 2019 On the 28th of April 2019, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) commemorated its Sixth Human Rights Defenders (HRD) day ceremony in Dar es Salaam. This year’s event also marked THRDC’s Six years anniversary of Defending Human Rights Defenders in Tanzania.

  April 28, 2019
 • VALIDATION OF CIVIC SPACE ADVOCACY STRATEGY

  Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) in collaboration with the Freedom House and Pact under the support of USAID validated an Advocacy Strategy for the CSOs Working Group on Civic Space. A Civic Space Working Group was established in 2018 for the purpose of building the capacity of CSOs in Tanzania to collectively and effectively

  April 10, 2019
 • Launching of The Compendium of Laws and Policies Affecting Civil Society Space in Tanzania and The Report on the Situation of Human Rights Defenders of 2018

  One of the Colosseum Hotel in Dar es Salaam was today honoured with the launch of the Compendium of Laws and Policies Affecting the Civil Society Space and The Report on Situation of Human Rights Defenders and Civic Space in Tanzania. The launch was attended to by many human rights defenders and Civil Societies representatives

  April 3, 2019
 • INTERNATIONAL WOMEN’s DAY: THEME: “RECOGNIZING AND AMPLIFYING THE VOICES OF RURAL WOMEN HUMAN RIGHTS DEFENDERS”

  The International Women’s Day is commemorated worldwide on the 8th of March every year. The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) works closely with its members, especially those who defend Women’s Rights in rural areas. The International Women’s Day is commemorated worldwide on the 8th of March every year. The Tanzania Human Rights Defenders Coalition

  March 8, 2019
 • THE COMPENDIUM OF LAWS GOVERNING CSOs IN ZANZIBAR

  This Compendium of Laws has been dedicated to expounding the fundamental facts on CSOs in Zanzibar. It provides for general understanding, meaning, categories, nature and historical perspectives of CSOs in Zanzibar. Furthermore, albeit briefly, it provides the rationale behind and justifications towards the development of this Compendium. Full Report

  March 4, 2019
 • Digital security management training to 30 HRDs

  HRDC conducted a one-day digital security management training to 30 HRDs from upcountry and Dar-es-salaam on the 27th of April 2016 at the Blue Pearl Hotel-Ubungo Plaza Dar es Salaam. The training aimed at equipping them with basic digital security knowledge to enhance their security when the pursuit of their defence activities. The training sessions

  September 17, 2018
 • European Union Guidelines on Human Rights Defenders

  Background The European Union (EU) Guidelines on Human Rights Defenders (2004) provide the EU Member States with practical guidance on how to protect and support Human Rights Defenders (HRDs), especially in third countries. The text of the guidelines can be found at http://ue.eu.int/uedocs/cmsUpload/GuidelinesDefenders.pdf. Although the EU did not select Tanzania as one of the approximately 25

  September 17, 2018
 • Mr Onesmo Olengurumwa, THRDC National Coordinator received an award for the “East Africa Defender of the year”

  HRDC was today honoured with a visit from Hassan Shire from East and Horn of Africa Human Rights Defenders Project (EAHRDP),Aloyce Habimana from Frontline defenders Regional Coordinator Africa and Brenda Kugonza from Uganda National Coalition of Human Rights Defenders where EAHRDP awarded Mr Onesmo Olengurumwa ( THRDC National Coordinator) an award for the “East Africa

  September 17, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018