Daily News

Get the latest news here on the situation of human rights and human rights defenders in Tanzania everyday.

 • UKOSEFU WA AJENDA MAHSUSI NI CHANGAMOTO KATIKA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU

  UKOSEFU WA AJENDA MAHSUSI NI CHANGAMOTO KATIKA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU Kukosekana kwa Ajenda mahsusi imeelezwa kuwa moja ya kikwazo katika kutekeleza ajenda ya Utetezi wa Haki za Binadamu nchini. Haya yameelezwa na Mkurugenzi wa PINGOs Forum Wakili Edward Porokwa wakati wa kikao cha pamoja na Mratibu Kitaifa wa THRDC Bw. Onesmo Olengurumwa ambaye

  February 14, 2020
 • HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (JANUARY 2020): JOSEPH BRIGHTON MALEKELA

  HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH (JANUARY 2020): JOSEPH BRIGHTON MALEKELA Meet Joseph Brighton Malekela (24), nominated as our Young Human Rights Defender of the month, for January 2020 through social rights and accountability. Joseph Brighton Malekela is a 3rd-year student at the University of Dar es Salaam (UDSM) pursuing his Bachelor’s Degree of Arts

  February 14, 2020
 • MGAWANYIKO KWENYE JAMII BADO NI CHANGAMOTO KWA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI

  MGAWANYIKO KWENYE JAMII BADO NI CHANGAMOTO KWA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NCHINI Arusha – Tanzania Mgawanyiko kwenye jamii unaohusishwa na maslahi binafsi umetajwa kuwa ni kikwazo kwa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini. Akielezea mafanikio na changamoto katika shughuli za Utetezi wa Haki za Binadamu nchini, Ndugu Lebaraka Laizer ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa

  February 14, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC PAMOJA NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YA KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC MKOANI ARUSHA

  ZIARA YA MRATIBU KITAIFA WA THRDC PAMOJA NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YA KUWATEMBELEA WANACHAMA WA THRDC MKOANI ARUSHA Leo tarehe 13/02/2020, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa akiongozana na Afisa Dawati la Wanachama – THRDC Wakili Joyce Eliezer walianza ziara ya kuwatembelea wanachama wetu walioko Arusha.

  February 13, 2020
 • MWANAHARAKATI NCHINI TANZANIA KUPINGA WATUHUMIWA KUSHTAKIWA KWENYE MAHAKAMA ZISIZOKUWA NA MAMLAKA YA KUSIKILIZA KESI ZAO (COMMITAL PROCEEDINGS)

  MWANAHARAKATI NCHINI TANZANIA KUPINGA WATUHUMIWA KUSHTAKIWA KWENYE MAHAKAMA ZISIZOKUWA NA MAMLAKA YA KUSIKILIZA KESI ZAO (COMMITAL PROCEEDINGS) Dar es Salaam – Tanzania Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa amefungua kesi namba 36 ya mwaka 2019 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Mahakama Kuu ya Tanzania,

  February 13, 2020
 • THRDC NA UNIC WAADHIMISHA KUMBUKIZI YA WAHANGA WA MAUAJI YA WAYAHUDI KIPINDI CHA VITA YA PILI YA DUNIA

  THRDC NA UNIC WAADHIMISHA KUMBUKIZI YA WAHANGA WA MAUAJI YA WAYAHUDI KIPINDI CHA VITA YA PILI YA DUNIA Dar es Salaam – Tanzania Asubuhi ya leo tarehe 12 Februari 2020, kwa mara nyingine tena, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ukiwakilishwa na James Laurent – Associate Protection Officer: Research & Documentation, kwa

  February 12, 2020
 • KABENDERA FACE TO FACE WITH THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS (DPP) TO REVIEW HIS PLEA BARGAINING AGREEMENT

  KABENDERA FACE TO FACE WITH THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS (DPP) TO REVIEW HIS PLEA BARGAINING AGREEMENT Dar es Salaam – Tanzania The Economic Crime case No. 75 of 2019 against Investigative Journalist, Erick Kabendera has been adjourned yet again for the 16th times today on 17th February, 2020 at Kisutu Resident Magistrates’ Court. The

  February 11, 2020
 • TANZANIA CSOs TO PRESENT UPR REPORT BEFORE THE UNHRC

  TANZANIA CSOs TO PRESENT UPR REPORT BEFORE THE UNHRC Today on 28th September 2019, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) in collaboration with 90 Civil Society Organizations from Tanzania mainland and Zanzibar is conducting Universal Periodic Review (UPR) midterm report Validation session at Kisenga Hall, LAPF building in Dar es Salaam. The meeting aims

  September 28, 2019
 • THRDC NA UNIC WAENDESHA MDAHALO KUWAELIMISHA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MCHIKICHINI KUHUSU KAZI ZAO

  THRDC NA UNIC WAENDESHA MDAHALO KUWAELIMISHA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MCHIKICHINI KUHUSU KAZI ZAO Dar es Salaam – Tanzania Leo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) pamoja na Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini (UNIC) wameitembelea shule ya Sekondari Mchikichini iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam, kuwaelimisha wanafunzi wa

  September 26, 2019
 • TAMKO KUHUSU MATUKIO YA KUPOTEA/KUTOONEKANA NA KUTEKWA KWA WATU NCHINI

  TAMKO KUHUSU MATUKIO YA KUPOTEA/KUTOONEKANA NA KUTEKWA KWA WATU NCHINI   1.0 Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania umekuwa ukifuatilia kwa ukaribu matukio mbali mbali ya utekaji ambayo yamekuwa yakihatarisha hali ya usalama na kuzua taharuki miongoni mwa wananchi. Katika taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe Kangi Lugola, mnamo

  July 11, 2019
 • A VISIT FROM ITALIAN AMBASSADOR H.E. HON. ALBERTO MENGONI

  Earlier today, H.E. Hon. Roberto Mengoni, Ambassador of Italy in Tanzania together with his assistant Ms. Lavinia Pilosu visited THRDC offices and engaged in a meeting with THRDC’s Management team.

  July 8, 2019
 • VISIT FROM REPRESENTATIVES OF THE OFFICE OF THE REGISTRAR OF NGOs IN TANZANIA

  VISIT FROM REPRESENTATIVES OF THE OFFICE OF THE REGISTRAR OF NGOs IN TANZANIA Greatly honored by a visit from officials of the office of the Registrar of NGOs today at our office. We deliberated on the work being done by THRDC, its member organizations and future constructive engagements between the Government and CSOs.

  June 24, 2019
 • “UVUMILIVU, UMOJA NA KUBAKI KWENYE AJENDA YA SHIRIKA NI NGUZO YA MAFANIKIO YA SHIRIKA”

  “UVUMILIVU, UMOJA NA KUBAKI KWENYE AJENDA YA SHIRIKA NI NGUZO YA MAFANIKIO YA SHIRIKA” Uvumilivu, Umoja miongoni mwa Watetezi wa Haki za Binadamu pamoja na kubaki kwenye ajenda ya Shirika ni miongoni mwa nguzo muhimu katika Utetezi wa Haki za Binadamu nchini. Haya yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Haki Madini Ndugu Amani Mhinda

  February 14, 2020
 • ZIARA YA MRATIBU THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAINGIA SIKU YA TATU MKOANI ARUSHA

  ZIARA YA MRATIBU THRDC NA AFISA DAWATI LA WANACHAMA YAINGIA SIKU YA TATU MKOANI ARUSHA Ziara ya siku tatu ya Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Ndugu Onesmo Olengurumwa akiongozana na Mratibu Msaidizi wa THRDC Kanda ya Kaskazini Bwana Erick Luwongo pamoja na Afisa wa Dawati la Wanachama – THRDC

  February 14, 2020
 • KESI YA TITO MAGOTI NA THEODORY GIYAN IMETAJWA KWA MARA YA 4 LEO MAHAKAMANI KISUTU

  KESI YA TITO MAGOTI NA THEODORY GIYAN IMETAJWA KWA MARA YA 4 LEO MAHAKAMANI KISUTU Dar es Salaam – Tanzania Kesi ya utakatishaji fedha namba 137 ya mwaka 2019 inayowakabili Afisa Programu wa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti pamoja na mwenzake Theodory Giyan mtaalamu wa Teknolojia

  February 5, 2020
 • NOMINATION FOR HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH – JANUARY 2020

  NOMINATION FOR HUMAN RIGHTS DEFENDER OF THE MONTH – JANUARY 2020 Dear Human Rights Defenders, Do you know any vibrant Human Right Defender (HRD) that is accountable and defends Social Rights in Tanzania? Please NOMINATE that defender to stand a chance to be recognized as Human Right Defender of the month, January 2020. All nominations

  February 4, 2020
 • HUMAN RIGHTS DEFENDERS & JOURNALISTS TO BENEFIT FROM A TZS 277 MILLON PROJECT

  HUMAN RIGHTS DEFENDERS & JOURNALISTS TO BENEFIT FROM A TZS 277 MILLON PROJECT Dar es Salaam – Tanzania The Tanzania Human Rights Defenders’ Coalition (THRDC) has signed a two-year contract worth $120,000/- equivalent to 277 Million Tanzanian Shillings; with the American Bar Association (ABA) to aid the implementation of a project on defending freedom of

  January 31, 2020
 • MWANAHARAKATI NA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU TITO MAGOTI AKAMATWA NA WATU WASIOJULIKANA

  MWANAHARAKATI NA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU TITO MAGOTI AKAMATWA NA WATU WASIOJULIKANA Dar es Salaam – Tanzania Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mtetezi wa Haki za binadamu ambaye pia ni Afisa Programu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amekamatwa asubuhi ya leo na watu watano akiwa kwenye kituo kimoja cha

  December 20, 2019
 • NEWS ALERT: HRD TITO MAGOTI ABDUCTED BY UNKNOWN ASSAILANTS

  NEWS ALERT ONLINE ACTIVIST AND HUMAN RIGHTS DEFENDER TITO MAGOTI ABDUCTED BY UNKNOWN ASSAILANTS Dar es Salaam – Tanzania We have just received news that, Tito Magoti, an active Online Human Rights Defender through the Twitter platform and Programme Officer at the Legal and Human Rights Centre (LHRC) has been abducted by five unknown people

  December 20, 2019
 • THRDC YAWAFUNDA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUHUSU UMUHIMU WA USAWA WA KIJINSIA NA USHIRIKISHWAJI WA MAKUNDI YA KIJINSIA KWENYE MAENDELEO YA JAMII

  THRDC YAWAFUNDA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUHUSU UMUHIMU WA USAWA WA KIJINSIA NA USHIRIKISHWAJI WA MAKUNDI YA KIJINSIA KWENYE MAENDELEO YA JAMII: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaendesha mafunzo ya siku mbili (tarehe 12 hadi 13 Desemba 2019) kuhusu masuala ya haki na usawa wa kijinsia kwa wawakilishi 60 wa

  December 12, 2019
 • TANZIA!!!

  TANZIA!!! Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesikitishwa na taarifa za kifo cha BI. GETRUDE ALEX (40) ambaye alikuwa Ofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (Commission for Human Rights and Good Governance – CHRAGG). Bi. Getrude Alex alifikwa na umauti usiku wa Novemba 23, 2019; siku mbili baada

  November 26, 2019
 • PRESS STATEMENT ON THE ARREST OF ADVOCATE JOSEPH RHOBI MARTINUS

  PRESS STATEMENT ON THE ARREST OF ADVOCATE JOSEPH RHOBI MARTINUS 1.0 Introduction Tanzania Human Rights Defenders Coalition strongly condemns the arrest and continued detainment of Advocate Joseph Rhobi Martinus (Roll No. 7357) by the police force. The Advocate was arrested on 22nd November 2019 following the instructions of the Regional Commissioner of Shinyanga and was

  November 25, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI JOSEPH RHOBI MARTINUS

  TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA WAKILI JOSEPH RHOBI MARTINUS 1.0 Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kukamatwa na kuendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Wakili Joseph Rhobi Martinus (Roll No. 7357). Wakili huyo alikamatwa kwa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mnamo tarehe 22.11.2019 ambapo aliachiwa

  November 25, 2019
 • CALL FOR APPLICATION: CONSULTANCY ASSIGNMENT ON THE EFFECTS OF DRACONIAN LAWS ON HRDs IN TANZANIA

  CALL FOR APPLICATION: CONSULTANCY FOR CONDUCTING A CASE-BASED STUDY ON DRACONIAN LAWS THAT AFFECT HUMAN RIGHTS DEFENDERS IN TANZANIA Opportunity: Consultant Organization: Tanzania Human Rights Defenders Coalition Closing date: 16th October 2019 Read more here…(https://thrdc.or.tz/opportunities/call-for-application-consultancy-assignment-on-the-effects-of-draconian-laws-on-hrds-in-tanzania/)

  October 9, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI KWA VITUO VYA MTANDAONI VYA KWANZA TV, WATETEZI TV NA AYO TV

  TAMKO KUHUSU KUFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI KWA VITUO VYA MTANDAONI VYA KWANZA TV, WATETEZI TV NA AYO TV 1.0) Utangulizi Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kufungia kituo cha Televisheni mtandaoni cha Kwanza TV, kwa muda wa miezi sita (6)

  September 27, 2019
 • PRESS RELEASE ON OFFICIAL LAUNCHING OF THE 2019/2020 CSOs ELECTION MANIFESTO

  PRESS RELEASE ON OFFICIAL LAUNCHING OF THE 2019/2020 CSOs ELECTION MANIFESTO 1.0) Introduction We Civil Society Organizations (CSOs) from across the United Republic of Tanzania under the coordination of the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), have jointly prepared a CSOs Election Manifesto that will serve for the 2019 Local Government Elections and the 2020

  September 27, 2019
 • TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (CHRAGG) KUDUMISHA UHUSIANO NA THRDC

  TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (CHRAGG) KUDUMISHA UHUSIANO NA THRDC Asubuhi ya leo maafisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG); Bi. Beatrice Beda (kushoto) pamoja na Bw. Mbaraka Kambona (kulia), wametembelea ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na kufanya mazungumzo na Afisa Uwezeshaji

  September 24, 2019
 • TGNP YARATIBU TAMASHA LA 14 LA JINSIA KUSHEREHEKEA MIAKA 25 YA AZIMIO NA MPANGO KAZI WA BEIJING

  TGNP YARATIBU TAMASHA LA 14 LA JINSIA KUSHEREHEKEA MIAKA 25 YA AZIMIO NA MPANGO KAZI WA BEIJING Dar es Salaam – Tanzania Zaidi ya wanaharakati 1000 wa Haki za Wanawake nchini wamekutana leo tarehe 24 Septemba 2019, jijini Dar es Salaam – Tanzania, kwa siku 3 kushiriki Tamasha la 14 la Jinsia linaloratibiwa na Mtandao

  September 24, 2019
 • ERICK KABENDERA’s CASE ADJOURNED, BUT DIAGNOSED WITH SPINAL PROBLEMS

  ERICK KABENDERA’s CASE ADJOURNED, BUT DIAGNOSED WITH SPINAL PROBLEMS Dar es Salaam – Tanzania Today on 18th September 2019, Tanzanian investigative journalist Erick Kabendera who is facing three charges including; Leading an Organized crime, Evading Tax and Money Laundering, has yet again had his case adjourned by the Kisutu Resident Magistrate Court in Dar es

  September 19, 2019
 • IMPROVEMENT OF THRDC’s M&E SYSTEM

  IMPROVEMENT OF THRDC’s M&E SYSTEM Today, Monitoring & Evaluation consultants from the Bridge Consulting Company led by Mr. David Kagoma initiated interviews with THRDC staff aimed at strengthening and improving THRDC’s Monitoring & Evaluation systems and overall programs performance. Today was the first round of interviews for this week, having met with our Program Monitoring

  September 17, 2019
 • MAADILI KATIKA VYOMBO VYA HABARI:

  MAADILI KATIKA VYOMBO VYA HABARI: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unahudhuria mjadala wa maadili katika vyombo vya habari ulioandaliwa na Internews-Tanzania kupitia mradi wa Boresha Habari. Mjadala huo unafanyika katika ofisi za Internews zilizopo kinondoni jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Wahariri, Wanahabari, Wahadhiri kutoka vyuo tofauti tofauti, wawakilishi na

  September 12, 2019
 • RETIRED CHIEF JUSTICE OF KENYA TO EDUCATE TANGANYIKA LAW SOCIETY LAYWERS TODAY

  RETIRED CHIEF JUSTICE OF KENYA TO EDUCATE TANGANYIKA LAW SOCIETY LAYWERS TODAY Today, 7th September, 2019 Watetezi TV will be attending the Half Annual General Meeting (HAFM) for the year 2019, starting from 09:30 a.m to 01:30 p.m, organized by the Tanganyika Law Society (TLS), at Arusha International Conference Centre (AICC) in Arusha. The theme

  September 7, 2019
 • AFYA YA KABENDERA YAZOROTA KIZUIZINI:

  AFYA YA KABENDERA YAZOROTA KIZUIZINI: Wakili Jebra Kambole kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) anaesimamia kesi ya mwandishi wa habari, Erick Kabendera, ameiambia mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kuwa hivi karibuni afya ya Kabendera imekuwa ikizorota. Wakili Jebra ameitaarifu mahakama kwamba tangu usiku wa tarehe 21 Agosti 2019, Kabendera amekuwa

  August 30, 2019
 • JOURNALIST JOSEPH GANDYE FREED, HE IS TO REPORT TO THE POLICE STATION WHEN NEEDED

  JOURNALIST JOSEPH GANDYE FREED, HE IS TO REPORT TO THE POLICE STATION WHEN NEEDED The police force in Iringa has released journalist Joseph Gandye, the Producer and Associate Head of Watetezi TV. He is supposed to report to the police station when needed. According to Advocate Chance Luoga from the Tanzania Human Rights Defenders Coalition

  August 28, 2019
 • PUBLIC STATEMENT ON THE ARREST OF WATETEZI TV INVESTIGATIVE JOURNALIST, JOSEPH GANDYE

  PUBLIC STATEMENT ON THE ARREST OF WATETEZI TV INVESTIGATIVE JOURNALIST, JOSEPH GANDYE The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) condemns the arrest of journalist Joseph Gandye, who is the production editor and associate head of Watetezi TV. Gandye has been arrested today on 22nd August, 2019, after receiving a call from a police officer who

  August 22, 2019
 • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani tukio la kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui msimamizi msaidizi wa Watetezi TV. Gandye alikamatwa leo tarehe 22.08.2019 baada ya kupigiwa simu

  August 22, 2019
 • STATEMENT ON THE VIOLATION OF LAWS AND DUE PROCESS IN THE ARREST AND DETENTION OF JOURNALIST ERICK KABENDERA

  STATEMENT ON THE VIOLATION OF LAWS AND DUE PROCESS IN THE ARREST AND DETENTION OF JOURNALIST ERICK KABENDERA   Introduction Erick Kabendera is a freelance investigative journalist who writes on various local and international publications. Erick Kabendera was arrested by people who identified themselves as police force on 29th July, 2019 around 18:00p.m at his

  August 12, 2019
 • TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU KATIKA KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA

  TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA SHERIA NA TARATIBU KATIKA KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA Utangulizi Erick Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi wa kujitegemea anayeandika kuhusu habari za ndani ya nchi na za Kimataifa. Erick Kabendera alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi tarehe 29 Julai 2019 saa 12

  August 11, 2019
 • ARRESTED ARRESTED INVESTIGATIVE JOURNALIST BOLLEN NGETTI, IS NOT AT STAKISHARI POLICE STATION

  🗞NEWS ALERT! BOLLEN NGETTI IS NOT AT STAKISHARI POLICE STATION Following reports about the arrest of investigative journalist Mr. Bollen Ngetti, yesterday on 8th August, 2019, Advocate Jones Sendodo from the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) went to Stakishari police station to follow up on the matter as it was claimed that he was

  August 9, 2019
 • JOINT STATEMENT BY THE US EMBASSY AND BRITISH HIGH COMMISSION IN TANZANIA ON THE DETERIORATION OF LEGAL CIVIL RIGHTS IN TANZANIA

  Tamko la pamoja la Ubalozi wa Marekani 🇺🇸 na Ubalozi wa Uingereza 🇬🇧 kuhusu wasiwasi wa kuzorota kwa Haki za Raia kisheria nchini Tanzania 🇹🇿. #FreeErickKabendera (English) Today on 9th August 2019, the US Embassy in Tanzania 🇺🇸 and the British High Commission in Tanzania 🇬🇧 have issued a joint statement of their concern over the deterioration of legal civil rights in Tanzania 🇹🇿.

  August 9, 2019
 • NEWS UPDATES FROM THE COURT CONCERNING ERICK KABENDERA’S CASE

  NEWS UPDATES FROM THE COURT CONCERNING ERICK KABENDERA’s CASE: Today, 5th August, 2019, investigative journalist, Erick Kabendera, who has been detained for more than 7 days has been arraigned in court charged with three counts; 1. Money Laundering (contrary to S. 3(u), 12(d) and 13(1)(a) of Anti-Money Laundering Act). 2. Tax Evasion(TZS 173,247,047.02) (Contrary to

  August 5, 2019
 • JOURNALIST ERICK KABENDERA’S BAIL APPLICATION HAS BEEN ADJOURNED TO 5th AUGUST, 2019

  NEWS UPDATE!!! JOURNALIST ERICK KABENDERA’S BAIL APPLICATION HAS BEEN ADJOURNED TO 5th AUGUST, 2019 Dar es Salaam, Tanzania Today, 1st August, 2019, Kisutu Residential Court in Dar es Salaam has received Erick Kabendera’s bail application brought by the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Advocates, Shilinde Swedy and Catherine Ringo before Judge Rwizile. Erick Kabendera’s

  August 1, 2019
 • TAMKO KUHUSU KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA

  TAMKO KUHUSU KUKAMATWA NA KUSHIKILIWA KWA MWANDISHI ERICK KABENDERA Erick Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi wa kujitegemea anaye andika machapisho kuhusu habari za ndani ya nchini na za Kimataifa.  Erick Kabendera alikamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Julai 2019 saa 12 jioni nyumbani kwake Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es salaam,

  July 31, 2019
 • BREAKING NEWS: ERICK KABENDERA’S WIFE AND RELATIVES HAVE BEEN ALLOWED TO VISIT HIM AT KILWA ROAD POLICE STATION

  ERICK KABENDERA’S WIFE AND RELATIVES HAVE BEEN ALLOWED TO VISIT HIM AT KILWA ROAD POLICE STATION Dar es Salaam, Tanzania Investigative Journalist Erick Kabendera’s wife has been allowed to see her husband who is detained at Kilwa road police station, two days after he was arrested by the police on Monday evening at his home

  July 31, 2019
 • ADVICE ON THE SITUATION OF PRIVACY AND COMMUNICATION SECURITY IN TANZANIA

  TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) ADVICE ON THE SITUATION OF PRIVACY AND COMMUNICATION SECURITY IN TANZANIA Introduction Security and privacy of communications is one of the most frequently violated rights in the country and elsewhere in the world. There is a serious problem of surveilled and illegal interception of people’s private communications in Tanzania.

  July 28, 2019
 • CONDOLENCES TO AZAM MEDIA LIMITED

  CONDOLENCES The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) has received with great sorrow information on the unfortunate death of 5 employees of Azam Media Limited early in the morning on 8th July, 2019, due to a car accident. Early reports state that the car accident happened early morning around 08:30 AM, at Kizonzo area in

  July 9, 2019
 • EVALUATION OF THE 2015 CSOs ELECTION MANIFESTO AND DEVELOPING A NEW ELECTION MANIFESTO FOR THE 2019/20 ELECTIONS

  EVALUATION OF THE 2015 CSOs ELECTION MANIFESTO AND DEVELOPING A NEW ELECTION MANIFESTO FOR THE 2019/20 ELECTIONS Today on 5th July 2019, the Tanzania Human Rights Defenders’ Coalition (THRDC) convened a CSOs’ dialogue at Kisenga – LAPF building; to Evaluate and analyze the 2015 CSOs Election manifesto but also began drafting a new CSOs Election

  July 5, 2019
 • THE 6TH ANNIVERSARY OF THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS – 28th APRIL 2019

  THE 6TH ANNIVERSARY OF THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS – 28th APRIL 2019 On the 28th of April 2019, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) commemorated its Sixth Human Rights Defenders (HRD) day ceremony in Dar es Salaam. This year’s event also marked THRDC’s Six years anniversary of Defending Human Rights Defenders in Tanzania.

  April 28, 2019
 • VALIDATION OF CIVIC SPACE ADVOCACY STRATEGY

  Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) in collaboration with the Freedom House and Pact under the support of USAID validated an Advocacy Strategy for the CSOs Working Group on Civic Space. A Civic Space Working Group was established in 2018 for the purpose of building the capacity of CSOs in Tanzania to collectively and effectively

  April 10, 2019
 • Launching of The Compendium of Laws and Policies Affecting Civil Society Space in Tanzania and The Report on the Situation of Human Rights Defenders of 2018

  One of the Colosseum Hotel in Dar es Salaam was today honoured with the launch of the Compendium of Laws and Policies Affecting the Civil Society Space and The Report on Situation of Human Rights Defenders and Civic Space in Tanzania. The launch was attended to by many human rights defenders and Civil Societies representatives

  April 3, 2019
 • INTERNATIONAL WOMEN’s DAY: THEME: “RECOGNIZING AND AMPLIFYING THE VOICES OF RURAL WOMEN HUMAN RIGHTS DEFENDERS”

  The International Women’s Day is commemorated worldwide on the 8th of March every year. The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) works closely with its members, especially those who defend Women’s Rights in rural areas. The International Women’s Day is commemorated worldwide on the 8th of March every year. The Tanzania Human Rights Defenders Coalition

  March 8, 2019
 • THE COMPENDIUM OF LAWS GOVERNING CSOs IN ZANZIBAR

  This Compendium of Laws has been dedicated to expounding the fundamental facts on CSOs in Zanzibar. It provides for general understanding, meaning, categories, nature and historical perspectives of CSOs in Zanzibar. Furthermore, albeit briefly, it provides the rationale behind and justifications towards the development of this Compendium. Full Report

  March 4, 2019
 • Digital security management training to 30 HRDs

  HRDC conducted a one-day digital security management training to 30 HRDs from upcountry and Dar-es-salaam on the 27th of April 2016 at the Blue Pearl Hotel-Ubungo Plaza Dar es Salaam. The training aimed at equipping them with basic digital security knowledge to enhance their security when the pursuit of their defence activities. The training sessions

  September 17, 2018
 • European Union Guidelines on Human Rights Defenders

  Background The European Union (EU) Guidelines on Human Rights Defenders (2004) provide the EU Member States with practical guidance on how to protect and support Human Rights Defenders (HRDs), especially in third countries. The text of the guidelines can be found at http://ue.eu.int/uedocs/cmsUpload/GuidelinesDefenders.pdf. Although the EU did not select Tanzania as one of the approximately 25

  September 17, 2018
 • Mr Onesmo Olengurumwa, THRDC National Coordinator received an award for the “East Africa Defender of the year”

  HRDC was today honoured with a visit from Hassan Shire from East and Horn of Africa Human Rights Defenders Project (EAHRDP),Aloyce Habimana from Frontline defenders Regional Coordinator Africa and Brenda Kugonza from Uganda National Coalition of Human Rights Defenders where EAHRDP awarded Mr Onesmo Olengurumwa ( THRDC National Coordinator) an award for the “East Africa

  September 17, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018
 • Test Advanced Requires

  Advanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versiodvanced requires WordPress versio

  March 28, 2018