Mary Mushi, Mkurugenzi Women and Children Welfare Support @wocwels ambao ni moja ya wanachama wa Mtandao akihudhuria kipindi cha Da Habiba show Leo kupitia NdagoTv.

Mada ya kipindi ikiwa “Je ukeketaji bado upo?”. Dada Mary aelezea kwa kina juu ya maana nzima ya ukeketaji, athari zake, na ni kwa kiasi gani ukeketaji upo katika jamii zetu zinazotuzunguka.
@wocwels

#Miaka10YaTHRDC
#10YrsOfTHRDC