Shirika mwanachama la utoaji wa msaada wa kisheria mkoani Morogoro, Morogoro Paralegal Centre @moroparalegal1992 limeshiriki katika utoaji wa msaada wa kisheria mkoani humo, ikiwa ni wiki ya utoaji wa msaada wa kisheria Tanzania nzima.

#10YrsOfTHRDC
#Miaka10YaTHRDC