Mtandao watoa mafunzo ya siku tatu ya ulinzi na usalama Mtwara kwa waandishi 30 kutoka Ruvuma, Mtwara na Lindi wanaondika katika maswala ya sekta ya uchimbaji rasilimali asili na haki za binadamu.

Mtandao umeanzisha mafunzo haya baada ya kubaini kuwa waandishi wanaoandika katika sekta ya uchimbaji rasilimali asili wamekuwa wakiishi katika mazingira ya hatari kutokana na kazi wanazozifanya ikiwamo wengine kuchomewa maeneo ya makazi yao, kutishiwa mara kwa mara na mambo mengine hatarishi.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.