The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) together with its members, are sorry and saddened to inform you of the tragic loss of our Dear Mr. PETRO SIMON MNENEGWA; the beloved father of the THRDC Board Chairperson Mama Martina Kabisama. Mr. PETRO SIMON MNENEGWA passed away last night on 02/07/2017 at Iringa referral Hospital. The Funeral proceedings and burial will take place on 06/07/2017 at Ilula, Iringa.
May the Lord give her, her family, relatives and friends strength and comfort, throughout this moment of sorrow and may our beloved father Rest In Eternal Peace.
Amen!
.
.
TANGAZO LA MSIBA:

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) pamoja na wanachama wake, wanasikitika kutangaza kifo cha Ndugu PETRO SIMON MNENEGWA, Baba mzazi wa Mwenyekiti wa Bodi ya THRDC; Mama Martina Kabisama. Ndugu PETRO SIMON MNENEGWA alifariki katika hospitali ya rufaa ya Iringa jana usiku, tarehe 02/07/2017. Mazishi yatafanyika Ilula, Iringa mnamo tarehe 06/07/2017.
Mwenyezi Mungu awatie nguvu na faraja familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu na wale wote waliofikwa na msiba. Roho ya marehemu ipumzike mahala pema.
Amina!

Related Posts

WP-Backgrounds Lite by InoPlugs Web Design and Juwelier Schönmann 1010 Wien