233large

SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA BINADAMU 2014

Mtandao umeshiriki kikamilifu katika siku ya kimataifa ya Haki za Binadamu duniani ya mwaka 2014. Sherehe hizo husherekewa kila mwaka kwa ajili ya kutambua umuhimu wa haki za binadamu, na hufanyika tarehe ambayo azimio la kimataifa la haki za binadamu lili...